Friday, September 11, 2009
Septemba 11, 2001. Je, tunajifunza nini?
Tumwombe Mungu atunusuru na mashambulizi ya kigaidi kama hili lililotokea Septemba 11, 2001 katika majiji ya New York na Washington nchini Marekani. Leo hii imetimia miaka minane tangu shambulio hili lifanyike ambapo watu kadhaa walipoteza maisha. Je, wewe na mimi tunajifunza nini kutokana na tukio hili hatari? Je, tumefanikiwa kwa kiasi gani kudhibiti vitendo hivi vya kigaidi visiendelee kupoteza maisha ya viumbe visivyo na hatia duniani? Tushirikiane kwa pamoja kupambana na ugaidi duniani.
Subscribe to:
Posts (Atom)