Monday, September 27, 2010
Ziara ya Katibu Mkuu Wizara ya Habari Tanzania
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni na Michezo nchini Tanzania Bw. Sethi Kamuhanda (kushoto) akifuatilia kwa makini maelezo ya Kitengo cha Habari katika Makao Makuu ya Kampuni ya Sahara Media Group jijini Mwanza kutoka kwa Mhariri wa Habari wa Star TV Bi. Flora Rugashoborola (aliyekaa chini) kuhusu uendeshaji wa vipindi mbalimbali katika Star TV na Radio Free Africa. Wengine ni Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Maendeleo ya Michezo Bibi. Rachel Masamu (katikati) na Msimamizi wa Vipindi wa Star TV Bw. Paul Mabuga(kulia). (Picha na http://issamichuzi.blogspot.com/)
Subscribe to:
Posts (Atom)